Neno la Asubuhi: Kwanini Hata kama hutaki kuwa tajiri ujitahidi usiwe ombaomba?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Mtu anayemuamini Mungu kuwa ombaomba ni kumdhalilisha Mungu.

Wakristo wengi kupinga utajiri kama aliokuwa nao Baba yao wa imani Ibrahim kumewafanya kuwa ombaomba. Wao na wachungaji wao.

Ushauri wa leo, ikiwa hutaki kupambana kuwa huru kifedha na upate fedha nyingi za kubaki kugusa maisha ya wengine, basi jitahidi usiwe ombaomba.

Njia tuliyoelekezwa ya kutokuwa ombaomba sio kuajiriwa bali ni kufanya biashara.
👇👇👇👇👇👇👇👇
1 Thessalonians 4:11-12
[11]And that ye study to be quiet, and to do your own business, and to work with your own hands, as we commanded you;
Tena mjitahidi kutulia, na kutenda shughuli zenu, na kufanya kazi kwa mikono yenu wenyewe, kama tulivyowaagiza;

[12]That ye may walk honestly toward them that are without, and that ye may have lack of nothing.
ili mwenende kwa adabu mbele yao walio nje, wala msiwe na haja ya kitu cho chote. Kuja kwa Bwana
 
Ujinga ni gharama sana ndugu!

Mtu anaamini Mungu ni TAJIRI na anaweza kufanya lolote, lakini bado ataona nongwa Mkristo kuwa SUPER RICH!

Yote hayo ni kwa sababu ya kutokujua Maandiko kwa usahihi!
 
Tatizo lako wewe unawapa watu utaratibu wa Biblia kama wote wanaimini na wanaongozwa nao.

Hata kama unasema ukweli na neno la Mungu ni ukweli, basi wasogeze kuliamini kabla ya kuwapa mistari.

Unajua kitu kinaitwa Rhema na Logos, Rhema ni kupewa neno la Mungu na uelewa wake kupitia roho mtakatifu.

Sasa ukitupa huo mstari hapa unajua una address nafsi na akili zetu na sio mioyo yetu?

Yeremia 10:23

Ee Bwana, najua ya kuwa njia ya mwanadamu haimo katika nafsi yake; kuelekeza hatua zake si katika uwezo wa mwanadamu.

Umesoma na huu mstari mwingine mkuu kabla ya kuanza kutulalamikia?
 
Kundi hili nalo liangaliwe kwa ukaribu zaidi

Ni kweli
 
Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho.
 
Ujinga ni gharama sana ndugu!

Mtu anaamini Mungu ni TAJIRI na anaweza kufanya lolote, lakini bado ataona nongwa Mkristo kuwa SUPER RICH!

Yote hayo ni kwa sababu ya kutokujua Maandiko kwa usahihi!
Hii kitu ndio watu wanapaswa kuelewa
 
Serikali ya nchi yetu yenyewe ni omba omba, viongozi wa dini ni omba omba, raia nao ni omba omba.

Kuna mchawi wa kumlaumu?
Kama wao wameamua kuwa ombaomba, bado wewe unaweza kukataa kuwa ombaomba na mizinga.
 
Unaweza pia kuwa ombaomba kwa kutumia biblia kama wafanyavyo kina mwampuss.
 
Back
Top Bottom