Neno la hekima l a Piere liquid baada ya kusimangwa na mwakilishi wa Rais

Neno la hekima l a Piere liquid baada ya kusimangwa na mwakilishi wa Rais

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
kaandika kwa kifupi tu lakini kwa hekima kuliko yule anayejiita mcha Mungu aliyejaa roho yenye kutu,kasema HILI NALO LITAPITA. Mtu wa karibu kaniambia Piere kafarijika sana na watanzania walivyomuonyesha Upendo(tuendelee kumuonyesha upendo na kumfariji ndugu yetu Pierre liquid)
Aliandika post hii baada ya kina Mange,ray c ,vanessa mdee na wengineo kwa maelfu walipomfariji na kumuambia yeye siyo mtu wa hovyo bali wa hovyo ni hao waliomponda wakichukia yeye kufanya matangazo na kuwa balozi wa hotel ilihali mmojawapo alibakwa mtungo huko singida mbele na nyuma hadi kuchafua mashuka uharo cha kushangaza zaidi leo ni balozi wa TTCL
#NASIMAMANAPIERREDHIDIYAMAJITUYENYEROHOMBAYAZAKOROSHO
pppp.PNG
 
Tusitafute mchawi wakati makuzi yetu yasiyekuwa na adabu wala maadili tumejipa wenyewe na familia zetu.
Tumwombe Mungu kwa pamoja tupate mwakilishi wa kufungua fikra zetu kutoka kwa walezi/familia, Elimu mpaka kwenye vituo vyetu vya kazi ndo tutajua cha kubomoa au kujenga.

Sent using mijikamimi
 
Back
Top Bottom