Neno la Kichaga- "Isale."

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Nawatakia juma pili njema.

Wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe..

Naomba kwa yeyote anaejua maana ya neno "Isale" kwa kirefu na hutumika vipi?, atuambie.

Natanguliza Shukrani, Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafurahi kupata wasaa huu kujieleza kidogo kuhusu isale

Isale ni mmea au ati amba ni jamii ya mono cotiledon ambao ni komon sana maeneo ya nyumbani kwa Wachaga
Yaani nje ya nyumba, pembeni ya nyumba, kwenye makaburi kwenye mifupa ya wazee
Kiufup ni mmea wa kimila

According tu mapokeo mmtu akikukosea na akataka msamaha wako na wewe ukakataa basi akija na sale ni vyema ukakubali na pia ni vyema ukienda kuomba msamaha uwe unamaanisha kwel

Kiufup mm naona ni mmea wa ajabu kwani una majani mazito lakini haukauki wala kupauka wakati wa kiangazi
Pia kifupi haufai kwa kuni au hairuhusiwi kwa kuni
Pia hutumika kujenga uzio
Huws ukikuwa Sana huwa wanakatia mbuzi lakini sio chakula cha kudumu

Nafurahia.....

Mwezrahi
 
Pia mnyama akizaa alafu lile kondo lisipotoka huwa akipewa isale linatoka
 
Kutambikia mizimu, kunywa damu na kuabudu marehemu ndio tatizo la Wachagga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutambikia ni sawa tu shida nn?

Ila kuabudu no.
Sidhani kama kuna mtu akipatwa na shida anapiga magoti kumuomba marehemu amsaidie.

But mila zina faida sanaaaa mm nikwambie tu.
Umoja wa ukoo, ili kuwa wamoja lazima muwe na mila zinazo wakutanisha.

Faida ipo kubwa, japo ukifikir na kutizama kwa jicho la kawaida huwezi kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…