Neno la ubaya ubwela halina baraka

Sasa Yanga kila kitu si wanaiga kwa simba hata hiyo Yanga day wameiga kutoka kwa simba
 
Angalieni wenzetu wa DAIMA MBELE na hakika wamekuwa mbele kwa kila kitu.
Slogan ya Simba ni Nguvu Moja.
Hii Ubaya Ubwela ni ya msimu tu. Halafu hiyo ya Daima Mbele haiishii hapo, inamaliziwa na Nyuma Mwiko
 
Masumbuko Lamwai
 
Bila kusahau kuwa ule mwiko bado umeng'ang'ania kule nyuma nayo siyo afya
 
Nyuma mwiko
 
Nimeshagundua na wewe una jina tata
Hili jina lina maana kubwa kwenye jamii yetu wala halina utata.

Utaliona lina utata kwakuwa hujui na hutojia maana ya jina hili isipokuwa jamii niliyotoka tu ndiyo wanajua maana halisi.
 
Hivi kuna mtu anaitwa Nyege?
 
Suzi Bale fc we huogopi,,, kwa hiyo msemo huu ndo una Baraka si ndio?,,
Kweli yanga wenye akili ni wawili japo kwa sasa kaongezeka watatu mzee magoma.
 
Mbona imekuwa ghafla hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…