Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 756
Nikiwa sehemu fulani nikakutana na neno "GAY" likitumiwa na sentesi ilikuwa hivi "and we'll all feel gay"nikakunja ndita nikasema hivi huyu mzungumzaji amekosea nini au atanataka kutuletea habari za "Cameron"mbio kwenye kamusi Dah nakukuta ina maana zaidi ya ile niijuayo ila kwa kipindi hiki hili neno linaleta ukakasi pindi ulitumiapo mbele ya kadamnasi!