neno lenye ukakasi ninapolisoma hapa jf

neno lenye ukakasi ninapolisoma hapa jf

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
735
Wakuu kuna neno ambalo sijawahi kulifurahia hasa ninapoona baadhi ya wakuu wakilitumia hapa jf neno hilo ni "KUTOA POVU" hivi huwa lina maana gani kwa sababu ni kama lugha ya picha hivi.... Lakini sijawahi pata tafsiri sahihi eti "mkuu mbona unatokwa povu" sasa hilo povu linatoka wapi...

Nisaidieni jamani na mimi nianze kulitumia neno hili kama wenzangu humu jf.....
 
Haujawahi kuona mtu amepanic mpaka vimate vinatoka vinakaa mdomoni mwishoni humu? Ndo povu Hilo
 
Mkuu ushawahi kumuona jamaa akibishana mpaka mishipa ya shingo na mate mate ya mapovu hukurukia usoni? hilo ndio neno Mbona unatoka povu
 
Back
Top Bottom