Ndio maana mimi huwa silitumii.
hata mimi neno a.k.a lilinitesaga sana,kila nikipita huku a.k.a nikawa najiuliza ndio nini hiki?
Lol!napita mie
lots of lough[/QUOTMmmh.....lol
Hili neno linatumiwa sana na jinsia ya kike. Ukikuta mwanaume analitumia lazima huyo atakuwa MLIBERALI.Wadau ... Tusaidiane hapa .. Neno "lol" 1. Lina maaana gani ? 2. Hutumika mazingira gani ? 3. Jinsia ipi hupaswa kutumia neno hilo.? Na akilitamka kwa jinsia ipi ? Asanteni .
Nachukiaga ukute dume zima eti linasema "umependezaje" au "chezea mimi wewe" hii ni misemo ya kina dada haifai kuongelewa na wanaume.
unamaanisha lucifer? auWengine husema linamaanisha "Licifer our Lord"
Just curious who is right.??????!!!!
Kama wadau wengine walivyotafsiri "Loughing out loud" lakini ni neon la kizunguzungu zaidi haliendani na mazingira na muktadha wetu waswahili sema watu wengi wameingia kwenye kitu naweza kuita "Mkumbo" yaani kama fasheni kulitumia. Binafsi naona limekaa ki-kikekike zaidi!!
kwanini..???lakini sikatai kwa mawazo yako inaweza kuwa sahihi,nisawa navyoona mimi maneno ya kiswahili kama "majanga","utajiju","sielewi","aje aje"...nikati ya vimisemo ambavyo naona havifaikusemwa na mwanaume
Nachukiaga ukute dume zima eti linasema "umependezaje" au "chezea mimi wewe" hii ni misemo ya kina dada haifai kuongelewa na wanaume.
Sana,liko kike kike zaidi. Mwanaume kuandika lol huwa nakua na mashaka nae,au mwanaume kuandka "haya wangu" au "sawa wangu" au "nambie wangu" huwa nakua na mashaka nao.
Afadhali we umekuja kuuliza sasa kuna wale wenzangu na mie kina sipitwi. Kitu hakielewi ili aonekane wa kishua anacoment Looooooool yaani huwa nacheka ili mradi aonekane yumo. Ndo maana mnaagizaga Watsapp za baridi.LMAO
Afadhali we umekuja kuuliza sasa kuna wale wenzangu na mie kina sipitwi. Kitu hakielewi ili aonekane wa kishua anacoment Looooooool yaani huwa nacheka ili mradi aonekane yumo. Ndo maana mnaagizaga Watsapp za baridi.LMAO
Mie nisaidieni LMAO
Laughing Out Loudly,Lots of Love.Thats the meaning.
Kinachonishangaza ni kwamba hapa JF tumejaa watu ambao tunajivunia lugha ya kiswahili kama lugha yetu ya taifa, lakini mata eti 'lol' ina maana sijui nini mara btw ina maana sijui baa ya tukunyema ina watoto mara sijui nini na nini.
Kwa nini tusiunde vifupi vyetu vya kiswahili? Kwa mfano: tuna neno 'kama kawa' = kama kawaida. Tuendeleze vifupi vingine vya kiswahili.
1.kuw = kwa ufahamu wako
2.nnt = nilikuwa natania tu
3.akk = asante kwa kunijulisha
4.us = umenichekesha sana
5. nk nk. Unda kifupi kizuri kitamu cha kiswahili tutakipenda tu.
Hayo ma btw, lmfao, lol, tuwaachie wenyewe!