Neno " lol " lina maana gani?

Hata mimi huwa nashangaa wana maana gani! ingekuwa looo! ya mshangao ningeelewa lakini hiyo nyingine ni kituko!
Yaani kuna mmoja huyo tangu aione sijui aisikie wapi kakazana kucomment Looooool kila comment ichekeshayo anajibu Looooool sasa najiuliza hizi Out zote za nini kulikua na haja gani ya kulifupisha. Ila ndo vile tena kitu hukielewi unadakia na kuongeza chumvi na sukari kumbe ndo waharibu na kuonesha ujinga wako uko mwingi kiasi gani.
 
hata mimi neno a.k.a lilinitesaga sana,kila nikipita huku a.k.a nikawa najiuliza ndio nini hiki?


a.k.a
also known as......
mfano Julius Kambarage Nyerere a.k.a baba wa Taifa.
 

Lovely our lucifa
Wakati wa mshangao
Haa haa!
 
LAUGHING OUT LOUD hki ndicho kirefu cha lol!.
mukiwa munachati uktumiwa kitu kchekeshako kuokoa muda na kumuonesha kama umecheka kwa saut au sana unamtext lol!.inatumika kwa jinsia zote
 
Na hili tbt wadau mana yake?


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
nikweli lakini huoni kama,utajiju,inahuu,ajeaje,lol yamekaa kikekike flan!!?

Ni mtazamo wako mkuu...you are free to expresss what you think is right to you.Google kitu kinachoitwa gender and language utafunguka zaidi..
 

LMAO kwa kiswahili ina maanisha nini mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…