jamani naomba mnisaidie kiswahili fasaha juu ya wingi wa neno albino. Mara nyingi watu wamekuwa wakiwaita walemavu wa ngozi maalbino jambo ambalo kwa mtazamo wangu naona kama sio sahihi. Mfano mtu mwenye ngozi nyeupe huitwa mzungu na wingi wake huitwa wazungu, mtu mwenye ngozi nyeusi huitwa mwafrika na wingi wake huitwa waafrika. sasa kwanini albino asiitwe waalbino kwa wingi wake? nisaidieni
Albino ni neno la kiingereza. Kiswahili chake ni zeruzeru, ingawa kwa sasa watu wanaamini ni jina linalodhalilisha (sijui ni kwa nini!). Neno zeruzeru kama ambovyo nimekuwa nikisikia linatumiwa halina wingi (angalia: "yule zeruzeru ni mkorofi" au "zeruzeru hawa ni wakarimu").
Sio kweli mtu mwenye ngozi nyeusi anaitwa Mwaafrika, je na mmarekani mweusi utamwita mwaafrika, au ukienda india kuna wahindi weusi hao nao ni waafrika.?jamani naomba mnisaidie kiswahili fasaha juu ya wingi wa neno albino. Mara nyingi watu wamekuwa wakiwaita walemavu wa ngozi maalbino jambo ambalo kwa mtazamo wangu naona kama sio sahihi. Mfano mtu mwenye ngozi nyeupe huitwa mzungu na wingi wake huitwa wazungu, mtu mwenye ngozi nyeusi huitwa mwafrika na wingi wake huitwa waafrika. sasa kwanini albino asiitwe waalbino kwa wingi wake? nisaidieni
kiswahili cha albino ni ''tupinkele'' ;-----baraza la kiswahili liko wapi?albino ni neno la kiingereza. Kiswahili chake ni zeruzeru, ingawa kwa sasa watu wanaamini ni jina linalodhalilisha (sijui ni kwa nini!). Neno zeruzeru kama ambavyo nimekuwa nikisikia linatumiwa halina wingi (angalia: "yule zeruzeru ni mkorofi" au "zeruzeru hawa ni wakarimu").
kiswahili cha albino ni ''tupinkele'' ;-----baraza la kiswahili liko wapi?
Acha uongo wewe,sio wote wenyengozi nyeupe huitwa wazungu,mbona wahindi,waarabu wote wanangozi nyeupe lakini hatuwaiti wazungu,hata wachina hatuwaiti wazungu?jamani naomba mnisaidie kiswahili fasaha juu ya wingi wa neno albino. Mara nyingi watu wamekuwa wakiwaita walemavu wa ngozi maalbino jambo ambalo kwa mtazamo wangu naona kama sio sahihi. Mfano mtu mwenye ngozi nyeupe huitwa mzungu na wingi wake huitwa wazungu, mtu mwenye ngozi nyeusi huitwa mwafrika na wingi wake huitwa waafrika. sasa kwanini albino asiitwe waalbino kwa wingi wake? nisaidieni
.. mwafrika wingi wake huitwa waafrika. sasa kwanini albino asiitwe waalbino kwa wingi wake? nisaidieni
Maneno mengi yalibadilishwa jinsi ya kuwaita walemavu miaka ile ya '80' kama sikosei.Albino ni neno la kiingereza. Kiswahili chake ni zeruzeru, ingawa kwa sasa watu wanaamini ni jina linalodhalilisha (sijui ni kwa nini!). Neno zeruzeru kama ambavyo nimekuwa nikisikia linatumiwa halina wingi (angalia: "yule zeruzeru ni mkorofi" au "zeruzeru hawa ni wakarimu").
jamani naomba mnisaidie kiswahili fasaha juu ya wingi wa neno albino. Mara nyingi watu wamekuwa wakiwaita walemavu wa ngozi maalbino jambo ambalo kwa mtazamo wangu naona kama sio sahihi. Mfano mtu mwenye ngozi nyeupe huitwa mzungu na wingi wake huitwa wazungu, mtu mwenye ngozi nyeusi huitwa mwafrika na wingi wake huitwa waafrika. sasa kwanini albino asiitwe waalbino kwa wingi wake? nisaidieni
Alibino sio neno la kiswahili, kwahiyo huwezi kupata neno fasaha lakiswahili kupata wingi wake!jamani naomba mnisaidie kiswahili fasaha juu ya wingi wa neno albino. Mara nyingi watu wamekuwa wakiwaita walemavu wa ngozi maalbino jambo ambalo kwa mtazamo wangu naona kama sio sahihi. Mfano mtu mwenye ngozi nyeupe huitwa mzungu na wingi wake huitwa wazungu, mtu mwenye ngozi nyeusi huitwa mwafrika na wingi wake huitwa waafrika. sasa kwanini albino asiitwe waalbino kwa wingi wake? nisaidieni