Neno malaya

Neno malaya

guysniper

Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
60
Reaction score
15
Hivi neno malaya huwa ni special kwa wanawake tu ama pia na wanaume?
 
hata mimi wa kiume kama nikiwa napenda sana papuchi tofauti tofauti nitakua malaya vile vile.
 
lina tofauti gani na neno MZINZI?

Mzinzi si lazima azini na watu wengi, anaweza kuwa anazini na mtu mmoja nje ya ndoa mara kwa mara. Malaya anafanya tendo la ndoa na watu tofautitofauti mara kwa mara.
 
lina tofauti gani na neno MZINZI?

Mzinzi anaweza asifanye ngono kwa malipo ya pesa,lakini malaya huwa anafanya kwa lengo la kupata pesa. Mzinzi=Bitch,Malaya= -----(tafsiri ya muandishi).
 
mzinzi yeyote alieoa akiwa anatoka nje ya ndoa yake..uzinzi ni kwa walio oa/kuolewa...malaya ni yeyote anaefanya mapenzi mara kwa mara na watu tofauti..
 
Hivi neno malaya huwa ni special kwa wanawake tu ama pia na wanaume?

Lilitokea uarabuni huko, likimlenga mwanamke zaidi, matumizi ya neno yamepanuka na kuhusisha mwanaume pia.
 
Na funguo Malaya?

Kuna maana ya msingi ya neno, halafu kuna maana za ziada ambazo hutokana na maana ya msingi ama kwa kulinganisha sifa, umbo au fahiwa(sense) zingine za maana ya msingi.

Funguo malaya, au spana malaya imetokana na hulka ya vifaa hivi kufungua vitu tofauti kama ilivyo hulka ya malaya kufanya ngono na watu tofauti.
 
hulka ya binadama na maneno yanavyotumika kulingana na sifa mwanamke akingonoka na wanaume tofauti tofauti hana budi kuitwa malaya kinyume chake mwnaume huitwa rijali.

umalaya ukikua sana huyo ni kahaba na hawa watu kwa mujibu wa tafsri yangu yaani hutumia miili yao kupata pesa wapo wengi mno anzia majumbani mwetu, maofisini nk ....
 
Back
Top Bottom