Neno "Mjuba" lina maana gani?

Joined
Dec 9, 2018
Posts
66
Reaction score
52
Wakuu naomba kujua maana ya maneno 'mjuba' pamoja na 'kudesa' maana nimeona yakitumiwa na vijana sana.
 
Mjuba.....a.k.a mutoto wa mujini asiyeshindwa na lolote a.k.a mbishi, ingawa kuna wakati wanadunda.

Siku hizi hakuna wajuba/mjuba....
 
Mjuba ni mtu mwenye kujituma, kupambana na ni mtu asiyeshindwa na jambo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…