Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Sawa mkuuNchi hii ina vijana na watu wengine wa hovyo sana. Saivi kila mtu ni 'Mkuu'! For what?![emoji205]
Mtu akipewa dili/ramani/offer/tip basi lazima amuite mtu MKUU!
Asante Mkuu!
Ndiyo Mkuu!
Sawa Mkuu!
Amina Mkuu!
Nchi hii ina vijana na watu wengine wa hovyo sana. Saivi kila mtu ni 'Mkuu...
Sawa mkuu[emoji1545]Nchi hii ina vijana na watu wengine wa hovyo sana. Saivi kila mtu ni 'Mkuu'! For what?![emoji205]
Mtu akipewa dili/ramani/offer/tip basi lazima amuite mtu MKUU!
Asante Mkuu!
Ndiyo Mkuu!
Sawa Mkuu!
Amina Mkuu!