44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Wanawake nawakaribisha mtoe neno moja kwa dume lililokutoa bikra, inawezekana bado uko naye au yuko mbali mshaachana naye.
Kupitia uzi huu nimeona siyo busara kuwasahau hawa watu muhimu katika maisha yenu.
Wakumbukeni kwa maneno mawili matatu au hata neno moja tu.
Karibuni
Kupitia uzi huu nimeona siyo busara kuwasahau hawa watu muhimu katika maisha yenu.
Wakumbukeni kwa maneno mawili matatu au hata neno moja tu.
Karibuni