Ghayo TheMongo Barbarian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 248
- 501
Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu.
Uzi Tayari
Uzi Tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyamer sanaHasibu la mchongo.
Dah ! ngoja niite tag langu wakinukisheGhayo TheMongo Barbarian wewe jamaa ni fala sana, ndiyo maana Chaliifrancisco huwa anakita mfenge 🤣🤣
Waiteeeee!!!!
Imepita hiyo.Hasibu la mchongo.
Sawa kabisaMhasibu mwenye gundu lake
Ndio na Kuna tofauti kati ya Mhasibu na Mwasibu .mkuu sio mwasibu ni mhasibu.
adriz unakera kupita maelezo.