Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kukuta hawa wametumwa na mtu mrefu sisi tunacheka chake tu na kung'ang'ania masanduku ya kura.
Mzee hii picha umaipatia....hapo ni nje ya uwanja karibu na Kanisa lake kuna hiyo nyumba nzuri.
Kameshiba hela za ndezi!
Eti SWAT, sidhani hata kama wanaijua maana yake sio mvaaji wala Nabii.
Nabii kavaa gloves kuficha sugu za mkorogo, anajiona mjaaaanja mwenyewe.
Mimi huwa nafikiri kuna kakitu wakikanyaga pale mlangoni tu ufahamu wao unatetereka sio bure kabisaa.Kuna watu wanaoenda kwa hawa watu, unashindwa kuelewa akili zao na mawazo yao yakoje na yanawaza nini. Ni wa kuwaonea huruma tu