Neno moja kwa thimba mla nyama

Neno moja kwa thimba mla nyama

Kumbe simba inawapa kimuhemuhe hivi
1dbb8e54f8d2912d1802564416a5b8bf.jpg
 
Timu inahitaji reformation kubwa sana kuanzia benchi la ufundi mpaka baadhi ya wachezaji ambao jua limeanza kuzama!
 
Hapa tujipange mwaka ujao aisee. lakin tatizo simba tumesajil wazee wengi
 
Nimetafakari kwa kina, nimeshindwa kutoa neno moja kwa Simba mla nyama.

Ila ushauri mpana wanaopaswa wautafakari siku za usoni.

Kosa kubwa la msingi walilofanya ni kumkubalia mbunifu wa jezi zao wanazotumia .

Hebu TUTAFAKARI PAMOJA ule ni ubunifu wenye MIKOSI badala ya kuwa SIMBA MLA NYAMA amekuwa SIMBA MJERUHIWA.

Alama za jezi zinaonesha tayari Simba ameingia uwanjani akiwa amejeruhiwa kwa makucha kifuani na tumboni.

Nini kinafuatia ni kuvuja damu nyingi na kufa . MBUNIFU huyu hafai NUKSI inaanzia hapo ndo maana WENZENU wameita MADERA.
 
Benchi la ufundi litazame tatizo la ufungaji magoli.
Timu inacheza vizuri sana, mwisho wa siku inahitaji matokeo mazuri, MAGOLI
 
Back
Top Bottom