Hayo uyasemayo ni ya kweli sehemu nyingi amebatizwa jina la; 'Kamanda". Neno lake linasubiriwa kwa shauku kubwa kila upande. Tumuombee kwa Mungu aendelee kumpa busara ili aweze kuvusha nchi yetu katika kipindi hiki kigumu.
kwanza niwapongeze wana JF popote mlipo. Nimejaribu kufuatilia thread nyingi katika forum hii na nimegudua kuwa watanzania wengi wanasubili nini Dr. Slaa atasema ili watekeleze. Hii inaonesha ni namna gani watanzania walifanya maamuzi ambayo hayakupewa thamani.
Tumwombee kwa Mungu Dr. Slaa awe na hekima kuu ili aweze kuivusha nchi hii katika vuguvugu hili ambapo hata aliyetangazwa kuwa mshindi hana furaha na urais wake maana wananchi hawamuungi mkono!
Utaona thread zinasema ... Tunangojea Dr. Slaa atamke, tutekeleze. watz wana imani kubwa naye
Nashauri amwachie Mungu yaliyotokea, kisha turudi kujenga chama toka kwenye mashina, kata, na wilaya nchi nzima. Pili tudai kwa nguvu zote tume huru ya uchaguzi halafu mwaka 2015 sio mbali kwani itakuwa ni haki iliyocheleweshwa
Kitu kimoja mnasahau ni kwamba Dr. (Phd) Slaa ni katibu wa chama kwa hiyo yeye binafsi hawezi kutoa tamko bila kukishirikisha chama...
Tamko lolote tutakalosikia litakuwa ni tamko la chama lililopewa baraka na vikao vyote husika.
Hana lolote wala chochote. Hii ni forum maalum ya Chadema na kila anepingana na Padre Dr wa Kikatoliki Slaa basi anafungiwa.
Ameangukia pua sasa anaugulia.
[/B]
Hana lolote wala chochote. Hii ni forum maalum ya Chadema na kila anepingana na Padre Dr wa Kikatoliki Slaa basi anafungiwa.
Ameangukia pua sasa anaugulia.
[/B]
Wiser man alwaya he waits and hope.
I hope to hear from him soon.
Mafisadi wanahaha kila kona wakihofia tamko lake maana jamaa anaweza kuiamrisha serikali ikafanya kazi au isimame.
Them fear him big time.
thank you very much .dr slaa say one word and the country shall be healed.kama ni kuingia mtaani acha tuingie maana si ccm wala chadema tutaumia wote hakuna kmaendeleo ya kweli ni mpaka afe mtu .mungu akusamehe maana hujui unenayo. Naamini kabisa wewe kama huna masilahi binafsi na ccm au selikali, basi utakuwa either elimu yako ndogo au ni mjinga huwezi kuwaza na kuwazua mambo magumu, mapana, manene na marefu.
Angalia maeneo yote ya tanzania ambayo yana maendeleo dr. Slaa (ama chadema) wamefanya vizuri ikiwa ni pamoja na kuchukua majimbo (mbeya mjini, arusha, mwanza, moshi, dar, shinyanga) lakini sehemu ambazo maendeleo hakuna ccm wamepata ushindi (wakisaidiwa na uchakachuaji). Hii inakupa picha gani?
Dr. Slaa sema neno moja na nchi hii itapona.
Nashauri amwachie Mungu yaliyotokea, kisha turudi kujenga chama toka kwenye mashina, kata, na wilaya nchi nzima. Pili tudai kwa nguvu zote tume huru ya uchaguzi halafu mwaka 2015 sio mbali kwani itakuwa ni haki iliyocheleweshwa
udini!!!!Hana lolote wala chochote. Hii ni forum maalum ya Chadema na kila anepingana na Padre Dr wa Kikatoliki Slaa basi anafungiwa.
Ameangukia pua sasa anaugulia.
[/B]