Neno moja tuu kwa Pascal Wawa

Neno moja tuu kwa Pascal Wawa

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Baada ya kuonyesha kiwango cha kutakata katika michuano ya Kagame, Una lipi la kumzungumzia Beki Mahiri wa Azam Fc Serge Wawa.

Mimi la kwangu ni hili;
Jamaa hastahili kuendelea kucheza Bongo, anapoteza muda hapa.
 
Anaweza kweli lakini huko nje si mpaka aitwe?kama azam walivyomuona akiwa na timu ya sudan.
 
huyo wajina anaweza saaaana ningeweza ningempa bonus ya kufanya mazoezi na king Messssi
 
Yule jamaa umri umekwenda sana, ananyoa kipara ili kuficha mvi, Babu Paschal Wawa
 
Azam "wanazi-cheat" timu zote za ukanda huu. Yule jamaa ukanda huu sio saizi yake, au kama amedhamiria kucheza ukanda huu basi Simba ndo saiz yake, azam anapoteza muda!
 
Azam "wanazi-cheat" timu zote za ukanda huu. Yule jamaa ukanda huu sio saizi yake, au kama amedhamiria kucheza ukanda huu basi Simba ndo saiz yake, azam anapoteza muda!
Umejisikiaje kuitaja simba mbele ya wanaume wenzio!!!!! Lushoto cup mmeishia nafasi ya ngapi!!?!
 
Back
Top Bottom