kufakunesa
Member
- Jul 29, 2011
- 13
- 1
Chimbuko la Neno "Neno" unajua asili yake ni wapi?
Mimi nimezoea mijadala ya Swali kwa swali.Hapana, sifahamu. Rejea swali la msingi na jadili bila maswali ya kuhitaji majibu kwa mabishano. Hakika utasaidia jamii pana zaidi.
Aisee......
Mimi nimezoea mijadala ya Swali kwa swali.
Nenda bakita
Sawa Mzee babaA reliable info. will drive you best to your destination and not just an address