Neno MTOTO WA MJINI tafsiri halisi na sahihi ni ipi?

Neno MTOTO WA MJINI tafsiri halisi na sahihi ni ipi?

Ni Kinyume cha Mshamba

Mzee Meko vs Bob Mazishi

Kipepe vs Pimbi

Baba Madenge vs Ndumilakuwili

Betina vs Zena

Nk.....nk
 
Watoto wale hawalali na njaa town wanajua chochoro zote , Ni kipaji unajua jinsi ya kuishi mazingira husika
 
Ni sawa tu na wahuni wa mjini waliojimilikisha himaya fulani.

Yaani watoto wa mjini, huwa hawakui! Hata wawe na miaka 70, bado tu wataendelea kuitwa mtoto wa mjini.
 
wanasifa nyingi hao moja ya sifa zao wanajua kumpanga mtu na akakubali jambo ambalo sio sahihi lakini mtu anakubali.
 
Back
Top Bottom