Hapa tanzania neno muheshimiwa kwa kias kikubwa linatumiwa vibaya na wanasiasa kwa mtazamo wangu. Hiv kuwa diwan, mbunge, wazir ni lazima uitwe mheshimiwa? Hiv mbunge ambae kaz yake kubwa ni kulala na kujamba tu bungen anastahil kuitwa mheshimiwa? Diwan ambaye hata kusoma na kuandika kwake ni tatizo anastahili kuitwa mheshimiwa? Waziri ambaye ni fisad na hawez kutatua kero za wizara yake anastahili kuitwa mheshimiwa? Kwa mtazamo wangu hiki neno tungeshaur katika katiba mpya liondolewe maana linatumiwa vibaya na wanasiasa walio weng. Kila kona unayopita unasikia mheshimiwa mheshimiwa hata diwan alieacha shule akiwa darasa la tatu na kuiba kura na kuingia madarakan eti nae anaitwa mheshimiwa. Kwangu mimi nasema No!