Madogo bwana, aiyekwambia ni desturi nani?
Uheshimiwa wao si desturi bali ni ule uanachama wao katika vyombo vya maamuzi. Kumuita Mkurugenzi wa kampuni mheshimiwa ni chaguo lako lkn Law Practitioners na Members of Parliament ni Waheshimiwa. Usikurupuke kuwaadress kipuuzi utatoka nje ya mistari ya maadili.
Hon. John Mnyika MP,
Hon. Mwana Mtoka Pabaya CJ
Hon. Kimbweka Mropokaji Judge of High Court,
Sawa wakuu. Si kwamba wao wanawaambia wananchi wawaite hivyo la hasha, tunawaita hivyo kwa mujibu wa nyadhifa zao kwenye mabaraza ya maamuzi ya sheria.
Msiwe kama Iddi Amini: My Majesty Mr.Queen, Sir