Neno 'munyu' limetokana na lugha ipi ya kibantu

Neno 'munyu' limetokana na lugha ipi ya kibantu

Wanyakyusa wa Rungwe na Kyela hulitumia neno hilo kumaanisha chumvi...
 
Sidhani kama kuna specific Kabila unaloweza kusema ndio mwanzilishi wa hilo neno, Bantu ni mjumuisho wa Makabiala mengi yenye maneno na sauti zinazofanana

Washona Wa Zimbabwe pia wanaita Munyu wakimaanisha Chumvi
 
Kikwetu pia inaamisha chumvi = "omonyo/ omunyu" - na inatokana na kitendo cha kumung'unya = "mumunya"

Mimi si mtalaamu wa "isimu"
 
Back
Top Bottom