Neno mzigo Lina maana nyingi sana

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Neno mzigo Lina maana nyingi sana....
Mzigo - pesa ....Utasikia jamaa ana mzigo..
Mzigo - mchepuko...Utasikia Yule dada mzigo wa jamaa...
Mzigo- makalio makubwa ...Utasikia Yule dada ana mzigo....

Mzigo ..-kifurushi...
Mzigo - mtu asiekuwa na faida..
Utasikia jamaa keshakuwa mzigo Kwa familia yake..
Mzigo - mashine kubwa Kwa wanaume ..Utasikia wadada wanamsifia ana mzigo...

Hili neno ...Lina maana nyingi sana...hebu wengine waongeze..
 
Bidhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…