Ndani ya masaa 24 nimetumia dawa zote hizo hakuna nafuu niliyopata bado sikio la upande wa kulia linauma kichizi kama mtu ananichoma na msumari tena wa moto.
Siwezi kulala, siwezi kutembea hata umbali wa hatua kumi bila ya kukaa chini ndani ya muda mfupi nimeona dunia kama hell. Nimepita picha kwa nini mgonjwa anapanda katarama toka mwanza kuja Dar es salaam Kawe kwa Mwamposa jibu ni kuwa anatafuta nafuu ya maumivu yake.
Kama aya ndio maumivu wanayopitia wenye sikoseli basi wana kila sababu ya kuchukia kuishi.
Mzima wa afya Ina maana kubwa sana.
Pole sana mkuu ,
Wasiliana nasi tutakusaidia sana kwa dawa zetu asili #1 duniani :
Sikio lina mfumo wake , huwezi sema ninatibu sikio , huwezi pata matokeo chanya
Heshoutang Natural Health system/ Xianhe :
SIKIO / EAR [emoji101]:
Sikio lipo lipo chini ya udhibiti wa mfumo wa FIGO & KIBOFU / KIDNEY & BLADDER SYSTEM ( KB )
Afya ya Sikio hutegemea nishati sahihi au nishati katika uwiano sahihi kwenye Mfumo wa Figo & Kibofu ( Water energy & Fire energy into KB system)
Water property energy ikiwa chini , Husababisha Fire energy kuwa juu kusababisha madhara ( Hot toxin or Fire toxin high )
Kwa hiyo hii sumu ikiwa kwenye Mfumo wa Figo , inaweza vamia popote kulingana na mfumo huo
Hot toxin inaweza sababisha blockage or blood stuck , hali hii Husababisha Sharp pain , maumivu kama haya hayavumiliki hata kidogo , maana yake mzunguko wa damu haupo vizuri eneo hilo !
Kwa maelezo uliyotoa ,tatizo lako ni “ Hot toxin imevamia mfumo kusababisha shida kwenye Sikio ndiyo mwili huonesha dalili kama taarifa kuwa kuwa shida mahali !
Treatment plan ( Nature )
1. Clear KB hot toxin
2. Improve circulation into KB system
3. Balance KB energy, ili tatizo lisiweze rudia tena !
Wasilana nasi , dawa zetu tunatuma popote ulipo , tutakufanyia diagnosis ili kujua shida ni nini haswa then tunakupa dawa kulingana na shida ya afya yako ! Utapona !
Cont: 0653048888 , 0757577995
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office