Neno 'Oyah' lilivosumbua Polisi wa Afrika Kusini

Neno 'Oyah' lilivosumbua Polisi wa Afrika Kusini

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Vyombo vya usalama vya South Africa viliumiza kichwa sana kujua ili neno OYAH ni kitu gani au ni mtu gani ambaye anakundi kubwa la wahalifu.

Watanzania wengi asilimia kubwa wamejikita kwenye uhalifu aina mbali mbali.

Miaka ya nyuma sana OYAH lilitumika kama ishara ya kumtonya mwenzako pale unapodakwa na polisi kutoa ishara mfano "OYAH nishadakwa"

Polisi wengi walitaka kujua OYAH ni nani kabla ya yote.[emoji23]

Utamsikia polisi "How is OYAH" ila kwa sasa wengi wanaelewa kiswahili kama neno Jomba(Mtanzania), soda (rushwa au ongo).

Ngizokhumbula impilo yasesigodini

IMG_0496.jpg
 
Back
Top Bottom