Oya ni neno ambalo tunalitumia mara nyingi sana katika mazungumzo yetu kwetu ni ngumu kunote hivyo kwa kuwa ni lugha yetu lakini wao kwa kuwa hawatuelewi wamejikuta wakinote kwamba Oya ni neno maarufu sana na muhimu kwetu kwenye mazungumzo wametunote hivyo mpaka kutuita oya
Oya mwanangu acha hizo
Oya vipi
Oya unakuja
Oya twenzetu
Oya wajomba hao
Oya unarudi
Katika mazungumzo ya washkaji, masela neno Oya haliepukiki tena kwa wingi
Ukiwa sehemu south ukijitambulisha wewe ni oya wanakuelewa kwamba wewe ni mtz