Neno "PIMBI" lina maana gani?

Harakati zisizo na maana sio
Hauwezi sema kwa hakika harakati za yule mnyama Pimbi hazina maana, hii tunaita anthropomorphism yaani ni binadamu kutumia tabia za kibinadamu kutafsiri tabia za wanyama, lakini ukweli ni kuwa mara nyingi huwa tunakosea sana!
 
Reactions: Auz

Shkamoo....

Teach me, teach me, teach me, teach me, Teacher
Teach I and I African Teacher
I never be late, I always early
I never absent I always present
That's why I and I nah sit down inna no back bench
Natty like to be bright, bright, bright
So bright, bright, bright, bright
So bright

"Burning Spear"
 
Reactions: Auz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…