Neno 'Popoma' maana yake ni nini na hutumika wapi?

Neno 'Popoma' maana yake ni nini na hutumika wapi?

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Habari za kazi na siku waungwana,nimekuwa nikisoma baadhi ya mada naona neno 'popoma' huwa kuna baadhi ya wanaJF hupenda sana kulitumia lakini katika hali ambayo huwa linaelewekan kwa badhi tu.

Kwa wale wanaolijua hili neno je nini maana yake na linatakiwa kutumika wapi?
 
Popoma ni mtu yeyote anayeshabikia CCM.

Kama unakumbuka Twaweza walifanya tafiti na kuja na conclusion kwamba CCM inapendwa zaidi na watu ambao hawajaenda shule, wajinga (Mapopoma).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Popoma, enda kombo, enda mzabe mzabe, enda tofauti na uelekeo, enda mbele kifikra bila umakini. Kwa ujumla tunaweza kusema mkurupukaji

Barafu la moto
 
Popoma, enda kombo, enda mzabe mzabe, enda tofauti na uelekeo, enda mbele kifikra bila umakini. Kwa ujumla tunaweza kusema mkurupukaji

Barafu la moto
Hapa naanza kuelewa maana ya neno hili. Kwaiyo #Popoma nikama huyu bwana hapa chini. Si ndio?

Back
Top Bottom