Hapa naanza kuelewa maana ya neno hili. Kwaiyo #Popoma nikama huyu bwana hapa chini. Si ndio?Popoma, enda kombo, enda mzabe mzabe, enda tofauti na uelekeo, enda mbele kifikra bila umakini. Kwa ujumla tunaweza kusema mkurupukaji
Barafu la moto
Popoma ni mtu yeyote anayeshabikia CCM.
Kama unakumbuka Twaweza walifanya tafiti na kuja na conclusion kwamba CCM inapendwa zaidi na watu ambao hawajaenda shule, wajinga (Mapopoma).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa naanza kuelewa maana ya neno hili. Kwaiyo #Popoma nikama huyu bwana hapa chini. Si ndio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes! Ndo maana huyo jamaa amefit kuwa popoma kwa comment yake(according to your definition)Hapana, masuala ya vyama hayahusiani maana ya neno. Popoma anaweza kuwa mwanachama wa chama chochote, kabila lolote, dini yoyote, tabaka lolote na uelewa wowote.
Barafu la moto