Neno 'professionalism' kwa Kiswahili

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,034
Reaction score
6,571
wana JF nilikuwa naomba nijuwe maana ya hii neno kwa kiswahili.
Maana nijuwavyo mm ni Weledi ila nimeonekana kama nimekosea.
 
wadau naomben jibu!!!!
 
Kwa mujibu wa kamusi ya TUKI tafsiri uliyoitumia ipo sahihi.
 
kwa mujibu wa kamusi ya TUKI maana yake ni weledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…