Changamotto
Senior Member
- Jan 12, 2018
- 191
- 100
Usichanganye nenoRadhi,utasikia naomba radhi,Mara amekosa radhi ya wazazi wake,Mara nitake radhi,mara nitakuachia radhi,
Nilichokuwa najua mimi radhi ni msamaha lakini hizo sentensi kadhaa hapo juu zimeshanivuruga,msaada wenu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Usichanganye neno
Radhi na
Razi
Radhi ni ridhaa
Razi ni laana
Lipi sahihi kati ya haya mawiliRadhi ni baraka toka kwa watu fulani na ukizikosa basi inaaminika utaandamwa na mikosi au mabalaa
Niwie radhi na naomba radhi lipi sahihi?Usichanganye neno
Radhi na
Razi
Radhi ni ridhaa
Razi ni laana
Yote sawaNiwie radhi na naomba radhi lipi sahihi?
Yote sahihiLipi sahihi kati ya haya mawili
1:Niwieni radhi
2:Naomba radhi
AsanteYote sahihi
Niwie radhi na naomba radhi lipi sahihi?