tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Mnazijua PEMBE ZA NDOVU? Ndovu (tembo) hana PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Majangili huwinda tembo kwa ajili ya kupata vipusa ambavyo huviuza, hasa ktk nchi za mashariki ya mbali. Vipusa hivi ndivyo huitwa MENO YA NDOVU. Hizi sio PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Haya ni MENO (canine teeth); na hata ukimuangalia vizuri tembo utaona kwamba meno yale huchomoza kutoka mashavuni mwake--sio kichwani--ambako pembe huota.
Habari ndiyo hiyo.
Habari ndiyo hiyo.