na faru je ni nini?
Mnazijua PEMBE ZA NDOVU? Ndovu (tembo) hana PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Majangili huwinda tembo kwa ajili ya kupata vipusa ambavyo huviuza, hasa ktk nchi za mashariki ya mbali. Vipusa hivi ndivyo huitwa MENO YA NDOVU. Hizi sio PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Haya ni MENO (canine teeth); na hata ukimuangalia vizuri tembo utaona kwamba meno yale huchomoza kutoka mashavuni mwake--sio kichwani--ambako pembe huota.
Habari ndiyo hiyo.

Inaonekana wewe ni mjuzi wa Kiswahili. Kuna hii phrase naisikia watu wakiitamka lakini sijui kama ni Kiswahili ama lugha nyingine
"TUKITU TUDOGO TUDOGO".
Naomba unihabarishe.
Hayo ya mdomoni mwa tembo utayaitaje?
Hayo ya mdomoni mwa tembo utayaitaje?
Nadhani huu ufunuo uliupata aidha baada ya kupiga msuba au kiroba kwa mkupuo. Ingelikuwa sio Sheriff Arpaio ulikuwa tayari umeshanichanganya akili aisee!!!Mnazijua PEMBE ZA NDOVU? Ndovu (tembo) hana PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Majangili huwinda tembo kwa ajili ya kupata vipusa ambavyo huviuza, hasa ktk nchi za mashariki ya mbali. Vipusa hivi ndivyo huitwa MENO YA NDOVU. Hizi sio PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Haya ni MENO (canine teeth); na hata ukimuangalia vizuri tembo utaona kwamba meno yale huchomoza kutoka mashavuni mwake--sio kichwani--ambako pembe huota.
Habari ndiyo hiyo.