Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,540 Nov 12, 2013 #21 SHERRIF ARPAIO said: Hayo ya mdomoni mwa tembo utayaitaje? Click to expand... Vitafunio....
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,604 Nov 14, 2013 #22 The Boss said: pembe za faru? misuli tena? Click to expand... Ndio pembe za faru huwa ni msuli unaodinda na kusinyaa, sio mfupa ule.
The Boss said: pembe za faru? misuli tena? Click to expand... Ndio pembe za faru huwa ni msuli unaodinda na kusinyaa, sio mfupa ule.
Abtali mwerevu JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 665 Reaction score 515 Nov 17, 2013 #23 Meno ya ndovu ayo
Mr. Somebody Member Joined Sep 12, 2013 Posts 76 Reaction score 24 Nov 18, 2013 #24 ni kweli hata mimi nilikuwa najichanganya .... asante mwana jamii@@@@ tpaul
Mr. Somebody Member Joined Sep 12, 2013 Posts 76 Reaction score 24 Nov 18, 2013 #25 lakini kama ni menooo mbona hayatumii kwenye ??????????????
tpaul JF-Expert Member Joined Feb 3, 2008 Posts 24,225 Reaction score 22,632 Nov 18, 2013 Thread starter #26 Askari Kanzu said: Nadhani huu ufunuo uliupata aidha baada ya kupiga msuba au kiroba kwa mkupuo. Ingelikuwa sio Sheriff Arpaio ulikuwa tayari umeshanichanganya akili aisee!!! Click to expand... sasa suala la kiroba linaingiaje hapa? ulipoandika hii comment ulikuwa umepiga kiroba?
Askari Kanzu said: Nadhani huu ufunuo uliupata aidha baada ya kupiga msuba au kiroba kwa mkupuo. Ingelikuwa sio Sheriff Arpaio ulikuwa tayari umeshanichanganya akili aisee!!! Click to expand... sasa suala la kiroba linaingiaje hapa? ulipoandika hii comment ulikuwa umepiga kiroba?
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Nov 19, 2013 #27 Ukitia mguu JF kichwa kichwa lazima makozi ya akina SHERRIF ARPAIO ukumbane nayo....! Huku ujuaji hakuna ni facts tu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ukitia mguu JF kichwa kichwa lazima makozi ya akina SHERRIF ARPAIO ukumbane nayo....! Huku ujuaji hakuna ni facts tu.
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Nov 19, 2013 #28 tpaul said: sasa suala la kiroba linaingiaje hapa? ulipoandika hii comment ulikuwa umepiga kiroba? Click to expand... Huyo kakukosea akuombe radhi...ila pia na wewe umshukuru Sherrif Arpaio kwa kukuelimisha huo ndiyo uungwana
tpaul said: sasa suala la kiroba linaingiaje hapa? ulipoandika hii comment ulikuwa umepiga kiroba? Click to expand... Huyo kakukosea akuombe radhi...ila pia na wewe umshukuru Sherrif Arpaio kwa kukuelimisha huo ndiyo uungwana