Kama mnadhani neno sanda ni rahisi basi hamjui nini maana ya brand ya timu. Kuna siku mtu atakuja na jina "maiti" au "misukule" kwa vigezo vile vile vya sanda.
Kuna balozi mmoja wa nchi fulani hakupokelewa na Magufuli kwa sababu jina lake lilikuwa tata.
Au mfungaji wa goli kwenye siku ya yanga anayeitwa Kelvin Kapumbu aje kudhamini jezi halafu aandike jina lake la pili sidhani kama atakubaliwa hata na tff.
Tuangalie sana majina yana maana sana kwenye kujenga brand.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app