Neno shikamoo kwa kizungu!!

Wahindi wanapractice hii bila kuongea, wanashika miguu watu walio wazidi umri kama namna ya kumheshimu.
Kwetu tunasema shikamoo kwa maana ya niko chini ya miguu yako au nakuwia
 
Waweza jumpa mtu yeyote shkamoo japo ktk jamii zetu zaidi ni kwa wakubwa. Pia sidhani kama neno shkamoo lina maana kwa kingireza
shuleni... ukimsalimu mwalimu good morning atajibu nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…