Neno uliloambiwa na unalikumbuka hadi leo na linakusaidia

Shinji_

Member
Joined
Sep 30, 2020
Posts
16
Reaction score
25
Tukumbushane kwa maneno ya wazee wetu,

Vitu brand vya busara nini Baba.

Babu yako au mtu yeyote yule alikwambia neno ambalo hadi leo unalikumbuka na linakusaidia hadi kesho.
 
Me nakumbuka neno kutoka kwa sister angu......." Sio lazima upate kila kitu hapa duniani. Kuna vingine Mungu anakunyima kwa sababu"

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ninakumbuka kitu kimoja

"Uaminifu katika maisha ni jambo la muhimu sana maana kila utakacho sema ni ukweli, wala hauta pata shida ya kutaka kukumbuka ulisema nini mwanzoni ili visije vika tofautiana....."
"....uaminifu ndio mtaji mkubwa sana wa masikini ambao akiutumia hata baki kama alivyo... "
 
Tukumbushane kwa maneno ya wazee wetu,

Vitu brand vya busara nini Baba.

Babu yako au mtu yeyote yule alikwambia neno ambalo hadi leo unalikumbuka na linakusaidia hadi kesho.
Sina vision ya maisha kwa sababu tu nilikuwa nachelewa kumuoa
 
"Kufaulu mtihani sio kufaulu maisha"

Mwalimu wangu wa Olevel aliwahi kunena hivi, kwa jinsi life lilivyo na umande nishaukanyaga hadi footprint zimekuwa sugu, nalikumbuka hiyo sentensi sana
 
"Ktk dunia hii usiishi kwa kuwaridhisha na kuwafurahisha watu wa nje, ishi maisha yako binafsi ambayo wee umechagua, ishi ndani ya uhalisia wako ili uwe huru, amani na furaha ktk uhai wako, kamwee usije kufake chochote kilichopo ndani yako ambacho huwezi kukibadili au hakiwezi kubadilika kwa namna yeyote ile, kwan utakua unajifanyia uhaini wa nafsi yako mwenyewe, wewe n wewe na utabaki kuwa wewe jikubali".

Ni maneno yaliyotoka ktk kinywa cha mtu m1, ambaye siwezi au sijui nimtafsiri vipi.

Maneno ambayo pia niliyahifadhi ktk Diary yangu.

Kwakweli alinijenga vema, ktk fikra, mtazamo, mawazo, ufahamu, uelewa,

Alinifanya niwe na uwezo wa kujikubali, kujiamini, kujipenda na kusimamia kile ninachokiamini.

Ahsanteee sanaaa wee M, Jah akubariki na kukuongezea hekima na busara, upendo na mafanikio mengine telee. Nitakukumbuka na kukuenzi daima na milele.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hiyo avatar yako inashawishi sana
 
Kama unapata hela ya kula usiache kazi halali unayoifanya,hata kama hiyo kazi ni ngumu/mbaya kwa kiwango gani,ila unaweza tu kuiacha iwapo tayari umekwisha kupata kazi nyingine...
 
Tukumbushane kwa maneno ya wazee wetu,

Vitu brand vya busara nini Baba.

Babu yako au mtu yeyote yule alikwambia neno ambalo hadi leo unalikumbuka na linakusaidia hadi kesho.
Glenn kijana wangu; usiposimangwa na wanadamu huwezi kupata presha ya kutamani kufanya mabadiliko makubwa kijana wangu.
Hii kauli inaishi na imenipa hatua kubwa sana
 
Mchumba huyo Hapo Mwanangu Ila maamuzi ni yako!! Ukiwa Tayari niambie kila kitu Ntagharamia,R.I.P-Daddy....
 
Back
Top Bottom