Me nakumbuka neno kutoka kwa sister angu......." Sio lazima upate kila kitu hapa duniani. Kuna vingine Mungu anakunyima kwa sababu"Tukumbushane kwa maneno ya wazee wetu,
Vitu brand vya busara nini Baba.
Babu yako au mtu yeyote yule alikwambia neno ambalo hadi leo unalikumbuka na linakusaidia hadi kesho.
Sina vision ya maisha kwa sababu tu nilikuwa nachelewa kumuoaTukumbushane kwa maneno ya wazee wetu,
Vitu brand vya busara nini Baba.
Babu yako au mtu yeyote yule alikwambia neno ambalo hadi leo unalikumbuka na linakusaidia hadi kesho.
Hiyo avatar yako inashawishi sana"Ktk dunia hii usiishi kwa kuwaridhisha na kuwafurahisha watu wa nje, ishi maisha yako binafsi ambayo wee umechagua, ishi ndani ya uhalisia wako ili uwe huru, amani na furaha ktk uhai wako, kamwee usije kufake chochote kilichopo ndani yako ambacho huwezi kukibadili au hakiwezi kubadilika kwa namna yeyote ile, kwan utakua unajifanyia uhaini wa nafsi yako mwenyewe, wewe n wewe na utabaki kuwa wewe jikubali".
Ni maneno yaliyotoka ktk kinywa cha mtu m1, ambaye siwezi au sijui nimtafsiri vipi.
Maneno ambayo pia niliyahifadhi ktk Diary yangu.
Kwakweli alinijenga vema, ktk fikra, mtazamo, mawazo, ufahamu, uelewa,
Alinifanya niwe na uwezo wa kujikubali, kujiamini, kujipenda na kusimamia kile ninachokiamini.
Ahsanteee sanaaa wee M, Jah akubariki na kukuongezea hekima na busara, upendo na mafanikio mengine telee. Nitakukumbuka na kukuenzi daima na milele.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kvpHiyo avatar yako inashawishi sana
Wewe mtu mzima jamani, hujanielewa tu?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kvp
Glenn kijana wangu; usiposimangwa na wanadamu huwezi kupata presha ya kutamani kufanya mabadiliko makubwa kijana wangu.Tukumbushane kwa maneno ya wazee wetu,
Vitu brand vya busara nini Baba.
Babu yako au mtu yeyote yule alikwambia neno ambalo hadi leo unalikumbuka na linakusaidia hadi kesho.