Neno Yesu na neno Kristo Inamaanisha Nini

Ngoja waje. Waeleze kwann neno Ima halijaonekana
 
huo u hovyo hovyo kama unavyouona wewe ndiyo nguvu na ndiyo hekima ya Mungu
 
Soma na mstari wa 25 basi mkuu
 
Tumia akili emanueli ni jina la ufupisho wa kifungu cha maneno ya lugha....yaani EMMANUEL maana yake ni MUNGU PAMOJA NASI........hivyo inathibitisha kuwa Yesu ni mungu pamoja nasi...yaani pamoja na wanadamu
 
Soma na mstari wa 25 basi mkuu
25 lakini hawakukaribiana mpaka Maria alipoji fungua mtoto wa kiume. Yosefu akamwita jina lake Yesu.

Ehe... Imanueli lilipotelea wapi?
 
Ukiisoma historia ya kusulubiwa kwa Yesu, alitundikwa msalabani kama adhabu, si kwa sababu ya ukombozi au dhambi za wanadamu.
Alifanya makosa na akatundikwa msalabani na wenzake wawili.
Hadith’s za kale za wayunani tunazichukulia kama matukio ya kweli bila udhibitisho
 
25 lakini hawakukaribiana mpaka Maria alipoji fungua mtoto wa kiume. Yosefu akamwita jina lake Yesu.

Ehe... Imanueli lilipotelea wapi?
Mpaka leo tunamuita Emmanuel, sababu Mungu yupo pamoja nasi kupitia yeye.
 
Sifa za Yesu alizotaja Malaika Gabriel kumhusu Yesu, zinarandana na sifa alizoelezea Nabii Isaya kumhusu Emmanuel.

Baba mwenye nguvu,

Mfalme wa Amani,

Ufalme wake hautakuwa na mwisho. Nk nk
 
Ndugu watumishi wa Mungu, kwanini maandiko Matakatifu yanataja ukoo wa Yesu ( Ukoo wa Yusufu) ilihali Yesu hakuzaliwa kwa njia za kimwili?

Kwanini wasingeweka ukoo wa upande wa Maria kuliko Yusufu ambaye si baba yake wa kibaiolojia?

Ufafanuzi tafadhali🙏
 
Ndivyo ulivyoelezwa!
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu(1 WAKORINTO 1:18)

Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu (1 Wakorinto 1:25)

Kwa hiyo sisi wengine tumeamua kuamini huo upumbavu wa Mungu
 
Yote yanamaana sawa
 
Yote yanamaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…