Hao viongozi wa Simba kwa kweli kabisa ni aidha hawajui mpira au wameamua kumpiga MO pesa. Huyo Maema ni mchezaji mzuri kwa baadhi ya mechi tu hasa zile timu ndogo ndogo zinazopaki basi. Huyo mechi zenye kasi na zinzopishana na Simba ni majanga matupu. Na kinachoumiza ni lile dau lake la usajili pamoja na mshahara wake. Mbaya zaidi hiyo pesa ya kufuru anayopewa ni bora wangeongeza wakamchukua Shalulile angewasaidia kwenye ushambuliaji na bado chenji ingebaki wangeapata kipa bora kuliko huyo Kasali. Wakaona dau la Shallulile kubwa wakala kona Yanga wakambeba. Mwaka huu Simba ispoangalia itafeli pakubwa kwasababu ya makosa ya dirisha kubwa wakati dirisha dogo walisajili vizuri.
Hao viongozi wa Simba wakati mwingine waambiwe ukweli dio lazima usajili wachezaji wengi ili timu ifanye vizuri. Timu inaweza ikasajili wachezaji wawili/watatu wakawa na impact kubwa kuliko kujaza tu nafasi za usajili. Mfano mzuri ni impact ya Oura na Libase hapo hapo Simba.
Ni mtizamo tu.