Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yeye alicheza kama refa mkuuMiaka yote magoli 13 hamna mchezaji humo
Mechi 120 ni sawa na misimu 4 kwa ligi yetu. Kwa namba hizo ukipiga hesabu kama regular starter ni sawa na kusema alikuwa anamaliza msimu akiwa na magoli 3 na asisst 4Ngoja Scars aje atoe ufafanuzi juu ya huu mtazamo wako! Na isitoshe huyo Maema ni kiungo mshambuliaji.
Miaka minne akiwa Mamelodi amecheza mechi 120, amefunga magoli 13, na ametoa assist 14!