Nepotism ni hatari kuliko hata kirusi

Nepotism ni hatari kuliko hata kirusi

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi:

- Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu.

Hapa nazungumzia kujiweka mbali na "Nepotism" tunaweza fanya kila aina ya ujinga lakini kuendekeza huyu mdudu nepotism haina afya kabisa kwa taifa.

Huyu mdudu nepotism anazalisha kila aina ya magonjwa taifani kama uzembe, ufisadi ulio kithiri, rushwa iliyo kithiri, ubadhirifu wa mali za umma, kutowajibika, kujuana na kila aina ya magonjwa yanayo fifisha maendeleo.

Ni rahisi sana kupambana na rushwa kama taifa halina nepotism lakini kama lina nepotism iliyo kithiri ni ngumu kufanya hivyo.

Nepotism ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika mataifa hasa ya Afrika.

Sasa ofisi, mashirika na taasisi za umma zimeharibiwa na nepotism iliyo kithiri.

Hili wala sio swala la kuficha Watanzania wenzangu tumekuwa wajinga tumegeuza ofisi, mashirika na taasisi za umma kuwa za kwetu na za watu wetu wa karibu na wale wanao tufahamu.

Sio serikalini, sio kwenye vyombo vya ulinzi ni mwendo wa Baba kumuachia mtoto au mjomba, ni mwendo wa Shangazi kumbeba binamu, rafiki yake.

Sio jambo la kushangaza ndani ya taasisi za kiserikali watu kustaff na madaraka kuwa kabidhi watu wao wa karibu, vyombo vya ulinzi simu za baba, wajomba, shangazi zimekithiri.

Taifa limefika hatua kama hauna connection ya ukoo, urafiki au kujuana kulitumikia taifa kwako ni ngumu kabisa.

Hatuwezi kupambana na kila aina ya uovu ndani ya nchi kama "Nepotism" imekithiri itakuwa ni mwendo wa kufichiana makosa na kuoneana aibu.

Kama Taifa tunapaswa kujitafakari upya na kukata huu mzizi kama ikiwezekana licha ya kuwa ni ngumu.
 
Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi:

- Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu.

Hapa nazungumzia kujiweka mbali na "Nepotism" tunaweza fanya kila aina ya ujinga lakini kuendekeza huyu mdudu nepotism haina afya kabisa kwa taifa.

Huyu mdudu nepotism anazalisha kila aina ya magonjwa taifani kama uzembe, ufisadi ulio kithiri, rushwa iliyo kithiri, ubadhirifu wa mali za umma, kutowajibika, kujuana na kila aina ya magonjwa yanayo fifisha maendeleo.

Ni rahisi sana kupambana na rushwa kama taifa halina nepotism lakini kama lina nepotism iliyo kithiri ni ngumu kufanya hivyo.

Nepotism ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika mataifa hasa ya Afrika.

Sasa ofisi, mashirika na taasisi za umma zimeharibiwa na nepotism iliyo kithiri.

Hili wala sio swala la kuficha Watanzania mwenzangu tumekuwa wajinga tumegeuza ofisi, mashirika na taasisi za umma kuwa za kwetu na za watu wetu wa karibu na wale wanao tufahamu.

Nepotism, Nepotism! Toa kwanza maana ya hilo neno ndo watu wakuelewe! Umekalia Nepotism, Nepotism!
 
Mkuu
What is the definition and translation of NEPOTISM

Kanituma FaizaFoxy kuuliza🤣
 
ungetoa na takwimu angalau ya ofisi moja ya umma ili tuone hali ilivyo na kama hao waliwekwa kupitia nepotism hawana hizo sifa..

Vilevile kama unamuogopa Mungu tuhakikishie wewe hujawahi kupendelea/kupendelewa au kuomba kupendelewa sehemu ambayo kuna ndugu/rafiki/ jamaa.
 
Nikimwogopa huyo Mungu ina nisaidia nini sasa. mambo ya kijinga haya
 
Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi:

- Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu.

Hapa nazungumzia kujiweka mbali na "Nepotism" tunaweza fanya kila aina ya ujinga lakini kuendekeza huyu mdudu nepotism haina afya kabisa kwa taifa.

Huyu mdudu nepotism anazalisha kila aina ya magonjwa taifani kama uzembe, ufisadi ulio kithiri, rushwa iliyo kithiri, ubadhirifu wa mali za umma, kutowajibika, kujuana na kila aina ya magonjwa yanayo fifisha maendeleo.

Ni rahisi sana kupambana na rushwa kama taifa halina nepotism lakini kama lina nepotism iliyo kithiri ni ngumu kufanya hivyo.

Nepotism ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika mataifa hasa ya Afrika.

Sasa ofisi, mashirika na taasisi za umma zimeharibiwa na nepotism iliyo kithiri.

Hili wala sio swala la kuficha Watanzania mwenzangu tumekuwa wajinga tumegeuza ofisi, mashirika na taasisi za umma kuwa za kwetu na za watu wetu wa karibu na wale wanao tufahamu.

Sio serikalini, sio kwenye vyombo vya ulinzi ni mwendo wa Baba kumuachia mtoto au mjomba, ni mwendo wa Shangazi kumbeba binamu, rafiki yake.

Sio jambo la kushangaza ndani ya taasisi za kiserikali watu kustaff na madaraka kuwa kabidhi watu wao wa karibu, vyombo vya ulinzi simu za baba, wajomba, shangazi zimekithiri.

Taifa limefika hatua kama hauna connection ya ukoo, urafiki au kujuana kulitumikia taifa kwako ni ngumu kabisa.

Hatuwezi kupambana na kila aina ya uovu ndani ya nchi kama "Nepotism" imekithiri itakuwa ni mwendo wa kufichiana makosa na kuoneana aibu.

Kama Taifa tunapaswa kujitafakari upya na kukata huu mzizi kama ikiwezekana licha ya kuwa ni ngumu.
Mkuu hii changamoto kwa aina ya viongozi tulio nayo wala tusidhani kama itamalizika zaidi ya kuongezeka na kusababisha mpasuko mkubwa kwenye taifa haswa kizazi kinachokuja.
Naomba nisamehewe kama nitawakwaza watu ila niseme tu kama tukijaaliwa kupata kiongozi wa aina ya Magufuli tunaweza walao kidogo kuzungumza kinyume chake.
 
Back
Top Bottom