Nepotism ni hatari kuliko hata kirusi

Nepotism ipo sana CHADEMA, Mbowe kapewa uenyekiti na Baba Mkwe wake muasisi wa Chadema na hataki kuachia uenyekiti, ingawa ana div 0 ya form 6, sasa imagine Nepotism mbaya sana hiyo, div 0 aongoze Chama kweli? Hii ni ujinga uliopitiliza, kisa tu ni Chama chao kama familia hata div 0 anakuwa mwenyekiti.
 
Hivi sa100 anaweza kumwajibisha waziri wa maliasili na utalii hata akivurunda?
 
jibu hoja,,,usilazimishe tufanane,,kutofautiana ndio mjadala wenyewe.
Hoja gani sasa hapo zaidi ya takataka huu uzi una mahusiano gani ya masuala ya kimungu kama sio ujinga ni nini sasa ?!.
 
Ukiondoa CCM hata ofisi za umma zisizo na mahusiano na CCM ya moja kwa moja nepotism imekithiri hatari
Wakati nafanya kazi kwa wakimbizi kigoma ilifikia kipindi mabosi wa WFP wakisikia mtu ametoka Kagera hawampi nafasi kwa hiyo Kama mtu ametoka huko anadanganya ametokea mkoa mwingine.
Yaani mpaka wazungu walishituka kuhusu nepotism.
 
Wewe umenipata. watu wanafikiri hili tatizo lipo kwa CCM pekee kumbe limejaa sehemu mbalimbali nchini ambazo CCM haina hata mkono wa moja kwa moja
 
Combating nepotism sio rahisi kama tunavyodhania , its a complex issue ..
Kama waafrika hasa bongo , wadogo ze2 wanatwangalia tulio juu tuwashike mkono nao waingie halmashauri tulizo ..
Personally nimewasaidia relatives kadhaa kwa rushwa ila ni kero , perfomance based hiring is much better .
Akifika kule hafanyi bidii kisa anajua ana mtu mbele , ila angeingia kwa bidii yake angeitunza .
Nepotism lessens productivity
 
Nimependa umeamua kufunguka ukweli ambao wengi humu wanajitoa ufahamu na kujifanya hawaelewi.

Na vizuri umesema kabisa kuwa nepotism sio kitu kizuri.

Yes kupambana na nepotism Ni kazi tena kazi ngumu haswa ila mazingira bora ya ajira na uongozi yakiwekwa tunaweza epuka mtego huo.
 
nepotism

/ˈnɛpətɪz(ə)m/

noun

the practice among those with power or influence of favouring relatives, friends, or associates, especially by giving them jobs.
 
Muasisi mkubwa wa Nepotism Jiwe na inaendelea mpka sa hivi kwa Chief Hangaya
 
Ukiondoa CCM hata ofisi za umma zisizo na mahusiano na CCM ya moja kwa moja nepotism imekithiri hatari
Hata mashirika binafsi.

Tatizo hili bila kufanya mabadiliko kwa makusudi kabisa, hatulimalizi.

Inatakiwa taasisi za umma, kuanzia nyadhifa za juu mpaka chini watu wachanganywe kwa makusudi kabisa.
 
Hata mashirika binafsi.

Tagizo hili bila kufanya mabadiliko kwa makusudi kabisa, hatulimalizi.

Inatakiwa taasisi za umma, kuanzia nyadhifa za juu mpaka chini watu wachanganywe kwa makusudi kabisa.
Nakubalina nawe kuhusu hili
 
Facts....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uvivu ,kupenda njia za mkato kumekuwa VAZI LA KUSTIRI NGOZI ZETU.....

Kupanga ni kuchagua...

Ikiwa tumechagua kwenda hivyo basi twende tu kwani "karma is a bit....h!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Katikati ya soko HURIA....sisi "wajima" tunapata shida mno.....

Tumekubali mfumo wa dunia ya kizungu lakini bado tunaenenda mambo kwa njia za kale.....[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo linalo umiza.

Mwanzo nilikuwa nafikiri kuwa wazee wetu walikuwa wazembe mpaka wazungu na waarabu wana watendea kila aina ya uchafu na wao wapo tu ila nimekuja kugundua sisi ndio tuna uzembe wa hali ya juu kabisa
Mapinduzi ya fikra yanahitajika....kuanzia ngazi ya familia na kuendelea......

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…