Nestory Irankunda mchezaji wa Tanzania anayeliliwa na Bayern Munich

Alafu tunajipapiza ni mtz, angekuwa mtizedi si angeichagua tz, hii kitu ya kujipendekeza kwa raia wanaohusishwa na tz tuache.
Ni kweli Mkuu

Wengi wanaweza kurudi kuchezea nyumbani iwapo tutaacha Wataalamu waongoze soka letu badala ya hawa Viongozi tulionao
 
kuwa na asili ya tanzania hamfanyi kuwa mchezaji wa tanzania bana, sisi tunajizibia riziki wenyewe wako wengi kama hao na wanataman kucheza tanzania ila mmekataa uraia pacha yaan eti uyo ache uraia wa australia aje kuwa mtanzania sio rahisiiii aseee
Tukisema CCM ni adui namba moja wa Taifa hili muwe mnaelewa
 

Hatutaki uraia pacha uwe ndiyo uchochoro wa kutaka mtu aje kucheza huku! Yeye abaki hukohuko hatutaki aje, kwanza anaweza kuja na asipate hata nafasi ya kucheza! Abaki huko na achukue uraia huko huko na atafute namba ya kuchezea timu ya taifa ya huko!
 
Tunaweza ruhusu Uraia pacha Kwa wanamichezo tuu
 
CCM akili zao zilivyo mbovu hawachelewi kusema Nestory ni UVCCM na chawa wa Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…