.NET, Oracle Database and Redhat Linux

.NET, Oracle Database and Redhat Linux

Einstein

Senior Member
Joined
Dec 5, 2009
Posts
121
Reaction score
26
Habari,

Ninataka ku-specialize katika .NET, Oracle Database na Redhat Linux.. Je ni sawa kufanya hivi??

Naomba mawazo yenu..
 
Sidhani, maana hivyo vitu haviendani kabisa .Net traditionally inaendana na MS SQL Server na Windows Server, although nadhani unaweza kuforce Oracle sio natural fit.
Pili hizo tatu ulizozitaja ziko wide sana .Net kuna VB, C#, Desktop, ASP, WCF,WPF,Silverlight, Windows Mobile, Windows Phone 7 etc.
Same for Oracle and Redhat. Ku-specialize itabidi uwe more specific.
 
Back
Top Bottom