Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena inatakiwa iwe ndani ya jengo la UN
Akumbuke tu na yeye siku yake ikifika, atakufa kama hao maelfu ya watu anao waua kila siku, akishirikiana na Mshirika wake Marekani.
Ukifuatilia historia wayahudi walijipanga mpaka wakaanzisha Israel. wazo la kurudi nyumbani lilianzishwa 1896 na Theodor Herlzl watu wakaingia Israel mwaka 1947. Ni difference ya miaka mingapi hapo ? Dunia haikuonei huruma kama hauna skills unamalizwa.Watu wanakazania watoto wasome madrasa mnategemea kusimama ? Uarabuni wanalindwa na jeshi la marekani pamoja na kuwa na mafuta.Talent uarabuni hazikuzwi kwa sababu system yao imekaa kimatabaka. Hata uwe na kipaji namna gani kama haujazaliwa katika familia fulani haupewi support. Hela zao za mafuta wananunulia magari halafu wanategemea kumpiga myahudi,Akumbuke tu na yeye siku yake ikifika, atakufa kama hao maelfu ya watu anao waua kila siku, akishirikiana na Mshirika wake Marekani.
Hii itakuwa simu ya satellite moja kwa moja hakuna wa kuidukua , inatumia frequency zao tu .