Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kumbe mambo yanafutuka huko Marekani kati ya Donald Trump na Netanyahau na wala hamsemi?
Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Netanyahu amesitisha safari yake kwenda Washington kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Donald Trump.
Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya kwenye ukurasa wake wa Truth Social ambapo kiongozi huyo wa Marekani ali-share kupitia ukurasa wake video ambayo inamkosoa Benyamini Netanyahu kama inavyoonekana hapo chini.
Kwa hiyo Netanyahu akaamua ku-cancel trip yake.
Hivi kweli Netanyahu ni wa kukosa kuhudhuria uapisho? Anajiamini nini huyu baba?
Mwenye majibu atupe muongozo