Kumbe mambo yanafutuka huko Marekani kati ya Donald Trump na Netanyahau na wala hamsemi?
Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Netanyahu amesitisha safari yake kwenda Washington kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Donald Trump.
Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya kwenye ukurasa wake wa Truth Social ambapo kiongozi huyo wa Marekani ali-share kupitia ukurasa wake video ambayo inamkosoa Benyamini Netanyahu kama inavyoonekana hapo chini.
Your browser is not able to display this video.
Kwa hiyo Netanyahu akaamua ku-cancel trip yake.
Hivi kweli Netanyahu ni wa kukosa kuhudhuria uapisho? Anajiamini nini huyu baba?
Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya kwenye ukurasa wake wa Truth Social ambapo kiongozi huyo wa Marekani ali-share kupitia ukurasa wake video ambayo inamkosoa Benyamini Netanyahu kama inavyoonekana hapo chini.
Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya kwenye ukurasa wake wa Truth Social ambapo kiongozi huyo wa Marekani ali-share kupitia ukurasa wake video ambayo inamkosoa Benyamini Netanyahu kama inavyoonekana hapo chini.
Marekani haitoi mialiko kwa viongozi wa mataifa mengine kwenye uapisho wa Rais iwe ni Israel, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, mpaka majirani zao Canada.
Tatizo mnashinda sana Tiktok, muwe mnajielimisha mitandaoni