Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
Ahabu ni mzito, anashindana na Yerobohamu kichwa kwa kichwa—huyu ni kama "Yerobohamu kwa turbo."Ahabu mwana wa Omri alitenda maovu machoni pa Bwana kuliko wote waliomtangulia."
Mitano tena kwa nani, si hakuna uchaguziSijaelewa, ulitaka kusema nini? Mitano tena?
Pitia kitabu cha wafalme wa pili kwa reference . Yeroboamu 2 alikua ni mfalme ambae utawala wake alifanikiwa katika vita na utanuzi wa mipaka ya kaskazini mwa Israel yaani Syria ya sasa.Sijaelewa, ulitaka kusema nini? Mitano tena?
Kwamba Urusi anapigwa na Ukraine😄😂Sijui maayatollah watakimbilia wapi kujihifadhi, maana watafikiwa safari hii. Ukisema wakimbilie saudia kule hawaelewani na masuni, ukisema wakimbilie urusi kule nako moto unawaka urusi inazidiwa kupondwa na ukraine. Labda wakimbilie korea kaskazini au china wakajihifadhi huko